Yanga FC mfundisheni ' Mburundi ' wenu Amis Tambwe jinsi ya Kushangilia akifunga Goli kwani anashangalia ' Kishamba ' sana!

Injinia soma hiyooo
Ni #hattrik mkuu

Kashangilia Makambako eti kawafunga Jkt angefunga goli kama la chama angevua sijui mpaka nn.

Leo Tambwe kaona vitu vya kawaida kufunga eti afundishwe mashabiki wa Simba bana naona mmekua wasemaji wa Yanga Fc
 
Kafunga hat trick kwa tukuyu stars afu anashangilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeona leo mnachekacheka msibani kwa aliefia uwanjani, badala ya kusikitika,

Kuna ' Uzi ' wangu niliuandika Juzi utafute Uusome kwani niliandika mambo mengi sana ila kuna mahala nilitahadharisha hasa kwa Wanasimba wote kuwa kwa aina ambavyo tulikuwa ' tumeroga ' kwa ' kukufuru ' kabisa basi kuna Kitu cha Kushtua kama siyo Kusikitika kingetokea kabla ya Mchezo au katikati ya mchezo na nadhani kimetimia. Kuanzia sasa nawashauri Simba SC tubadili aina ya ' Kuroga ' na turudi tu katika Kitabu cha Mwarabu au ikiwezekana tuiige tabia ya Watani zetu Yanga SC ambao wao kwenda Mahospitalini hasa ' Mochwari ' kubeba Maiti na kwenda Kuifukia Uwanjani na baada ya mechi kuisha na Watu kuondoka huwa wanaifukia na kuirudisha walikoitoa ili Ndugu, Jamaa na Marafiki waendelee na tararibu zao za Mazishi kwa Mpendwa wao huo. Ole wake nione Mtu wa Yanga SC ananibishia katika hili ili sasa nitiririke na niserereke zaidi.

R.I.P Kessy Rajab nakumbuka wakati wa Uhai wako na Kipindi kile ulipokuwa Meneja wa Simba SC ulikuwa ni Rafiki sana na Mchezaji Marehemu Patrick Mutesa Tabu Petit Mafisango ( R.I.P )
 
mmemtoa kafara mzee Kessy Simba ni wauaji
 
Kessy Rajab hakuwa Mzee bali alikuwa ni Mtu mzima wa kati tu. Fanyia Kazi uelewa wako juu ya neno Mzee na ni akina nani wanastahili Kuitwa hivyo.
 
Lakini ukweli unabaki pale pale kuwa simba wamemtoa kafara. Upo

Na Mechi ijayo tunategemea Kukutoa ' Kafara ' Wewe. Anza Kujiandaa, Kugawa Urithi na Jina lako kubadilika rasmi.
 
Ndugu yangu uwe makini na maneno yako, huwezi kudhihaki kifo au kumuombea mabaya mwenzio, ni hatari mno...
 
Mkuu GENTAMYCINE ulishawahi kuona Wagogo wa mjini wana furaha? Huwezi ona omba omba akawa na furaha hata siku moja, njaa ni kitu kibaya sana na ndiyo maana wahenga wanasema ukitaka kumtesa adui yako muombee njaa. Unataka Tambwe ashangiliaje wakati ana njaa? Wagogo wa Jangwani (Yanga) wanajihaibisha wenyewe, kila kukicha wanapitisha makopo ya michango misikitini, utaishije namna hii?
 
Back
Top Bottom