Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.Simba mnalazimisha furaha lakin wapi
Mbumbumbu wasiumie kwa miaka miwili bila kombe lolote [emoji23]Tatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.
Mwenzao Msafiri Diof wa Twanga Pepeta aliimba wazi anaumia kwa mawazo juu ya Emmy, ila Simba wanaumia halafu hawasemi, sasa ole wao turudi na kombe ndio watajuwa hawajui.
Viva Aluta hii vita hatujamalizana bado na USM Alger
Mimi ni shabiki wa usm alger hao wamekufanya nin had uwataje?Yanga isiporudi na kombe Algeria itarudi na medali na kiatu cha dhahabu mfungaji bora Fiston Mayele.
Je mataahira ya Msimbazi MNA nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safari ya chizi ni ndefuu, muache azunguke huku akiongea, then akirudi na cheni ya mbwa mpokeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ko mnagombania kombe la Medali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yanga isiporudi na kombe Algeria itarudi na medali na kiatu cha dhahabu mfungaji bora Fiston Mayele.
Je mataahira ya Msimbazi MNA nini?
kwani nani kapewa kombe jana,hata chizi huona wazima machizi pia kwaiyo wewe ni chizi lazma uone watu machizi kwa kuvaa nguo na kulala ndani???AU NDO BORA ANDAZI!!!Salaam wakuu.
Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo.
Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael walivyopigiwa mpira mkubwa na mafundi USM ALGER wakiongozwa na fundi BRAHIM BENZAZA na timu hiyo kutoka algeria kuibuka na ushindi wa goli 2.
Sasa kuna baadhi ya wendawazimu wameanza kujifariji kuwa hata wasipochukua kombe watapata medali nipende kuwahamisha kuwa mafanikio ya mashindano yoyote ni kuchukua ubingwa sio kuvalishwa cheni kama MBWA.
Sasa wewe usipochukua ubingwa hautokuwa tofauti gan na Geita gold alieshia hatua za awali kwa nyote hamjarudi na kombe.
NB: MAFANIKIO NI KUCHUKUA UBINGWA TU KUVALISHWA CHENI KAMA MBWA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA TOFAUTI NA TAHIRA AMBAE ANAENDA SAFARI NDEFU ILA ANARUDI NA MAKOPO.
Na mumeimaliza kwa ushindi mnonoTatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.
Mwenzao Msafiri Diof wa Twanga Pepeta aliimba wazi anaumia kwa mawazo juu ya Emmy, ila Simba wanaumia halafu hawasemi, sasa ole wao turudi na kombe ndio watajuwa hawajui.
Viva Aluta hii vita hatujamalizana bado na USM Alger