Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.Simba mnalazimisha furaha lakin wapi
Mwenzao Msafiri Diof wa Twanga Pepeta aliimba wazi anaumia kwa mawazo juu ya Emmy, ila Simba wanaumia halafu hawasemi, sasa ole wao turudi na kombe ndio watajuwa hawajui.
Viva Aluta hii vita hatujamalizana bado na USM Alger