Yanga FC na safari chizi

Yanga FC na safari chizi

Simba mnalazimisha furaha lakin wapi
Tatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.

Mwenzao Msafiri Diof wa Twanga Pepeta aliimba wazi anaumia kwa mawazo juu ya Emmy, ila Simba wanaumia halafu hawasemi, sasa ole wao turudi na kombe ndio watajuwa hawajui.

Viva Aluta hii vita hatujamalizana bado na USM Alger
 
Mbumbumbu wasiumie kwa miaka miwili bila kombe lolote [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unatukana sana ukoo wenu mnaishi mbuga gani maana una uhayawani.
 
Safari ya chizi ni ndefuu, muache azunguke huku akiongea, then akirudi na cheni ya mbwa mpokeee. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga isiporudi na kombe Algeria itarudi na medali na kiatu cha dhahabu mfungaji bora Fiston Mayele.

Je mataahira ya Msimbazi MNA nini?
Ko mnagombania kombe la Medali? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mmevurugwaaaaaas
 
Salaam wakuu.
Bila kuchelewesha muda kama mnavyofahamu safari ya chizi huwa ndefu lakini akirudi anarudi na makopo na takataka nyinginezo.

Nadhani wote tumeshuhudia jana hawa mbwa wa luc eymael walivyopigiwa mpira mkubwa na mafundi USM ALGER wakiongozwa na fundi BRAHIM BENZAZA na timu hiyo kutoka algeria kuibuka na ushindi wa goli 2.

Sasa kuna baadhi ya wendawazimu wameanza kujifariji kuwa hata wasipochukua kombe watapata medali nipende kuwahamisha kuwa mafanikio ya mashindano yoyote ni kuchukua ubingwa sio kuvalishwa cheni kama MBWA.

Sasa wewe usipochukua ubingwa hautokuwa tofauti gan na Geita gold alieshia hatua za awali kwa nyote hamjarudi na kombe.

NB: MAFANIKIO NI KUCHUKUA UBINGWA TU KUVALISHWA CHENI KAMA MBWA TOFAUTI NA HAPO HAKUNA TOFAUTI NA TAHIRA AMBAE ANAENDA SAFARI NDEFU ILA ANARUDI NA MAKOPO.
kwani nani kapewa kombe jana,hata chizi huona wazima machizi pia kwaiyo wewe ni chizi lazma uone watu machizi kwa kuvaa nguo na kulala ndani???AU NDO BORA ANDAZI!!!
 
Yanga hatuidai boli kama Barcelona tumeshinda ugenini mbele ya fataki na mashabiki milioni. Tumejifunza pakubwa kushinda nyumbani ni muhimu, Fiston Mayele our hero.

Lawama zangu binafsi ni kwa Khalid Aucho viongozi au Cedric Kaze amwambie mashindano makubwa aache rafu za kijinga za kadi , ametucost pakubwa laiti angecheza tungepata timu nzuri zaidi na yeye balance maana Sureboy na Mudathir wanakaba vizuri ila hawana akili ya Aucho kupiga pasi za mwisho , Jana Hawa Azam FC boys waligeuza geuza sana mipira anao anao sana show off nyingi badala ya kuharakisha kutoa pasi mbele Kwa Mayele!
 
Tatizo hawakutuambia kama wanaumia na mafanikio ya Yanga.

Mwenzao Msafiri Diof wa Twanga Pepeta aliimba wazi anaumia kwa mawazo juu ya Emmy, ila Simba wanaumia halafu hawasemi, sasa ole wao turudi na kombe ndio watajuwa hawajui.

Viva Aluta hii vita hatujamalizana bado na USM Alger
Na mumeimaliza kwa ushindi mnono
FB_IMG_1685857642318.jpg
 
Back
Top Bottom