Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) iliendelea tena leo ambapo timu ya Yanga SC, imebanwa mbavu na Mwadui FC kutoka mkoani Shinyanga, kwa kutoka sare ya bila kufungana kila timu ikiondoka na pointi moja katika mchezo ulipigwa kwenye dimba la uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.
Kwa matokeo hayo ya timu ya Yanga kulazimishwa sare na Mwadui, Yanga imabaki kwenye nafasi yake ya tano huku Mwadui wakipanda kutoka nafasi ya 11 hadi nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara VPL.
I bet washabiki Wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] watasema Hata Msimu Uliopita [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] aliongoza Kwa Points 8 kwahiyo ingawa Simba na marahii anaongoza lakini Ubingwa ni Wa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] ππππ