Yanga FC yabanwa mbavu na Mwadui FC uwanja wa Uhuru

Yanga FC yabanwa mbavu na Mwadui FC uwanja wa Uhuru

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
66ab6ae3b94c7aa7a07829e27c3fa3b7.jpg
Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) iliendelea tena leo ambapo timu ya Yanga SC, imebanwa mbavu na Mwadui FC kutoka mkoani Shinyanga, kwa kutoka sare ya bila kufungana kila timu ikiondoka na pointi moja katika mchezo ulipigwa kwenye dimba la uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

Kwa matokeo hayo ya timu ya Yanga kulazimishwa sare na Mwadui, Yanga imabaki kwenye nafasi yake ya tano huku Mwadui wakipanda kutoka nafasi ya 11 hadi nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi kuu Tanzania bara VPL.
 
Yanga nafasi yao ni hiyo hiyo ya tano ndo wameilipia. Wasubiri mnyama mkali kesho uwanja wa Taifa atakavyong'ata mtu
 
I bet washabiki Wa [HASHTAG]#YeboYebo[/HASHTAG] watasema Hata Msimu Uliopita [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] aliongoza Kwa Points 8 kwahiyo ingawa Simba na marahii anaongoza lakini Ubingwa ni Wa [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] 😀 😀 😀 😀
 
"If claims are not supported by proof, they are used only by the fools as evidence"
 
Wakati naangalia mpira nilishindwa kuelewa hawa kweli ndio yanga? yaani mpira tumecheza wa hovyo sana
 
Wakati naangalia mpira nilishindwa kuelewa hawa kweli ndio yanga? yaani mpira tumecheza wa hovyo sana
Pole mkuu. Wala si uchawi wala nini, ila ndo uwezo wa timu ulipofikia
 
Back
Top Bottom