Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,180
- 1,291
Yanga itapambana na mmoja kati ya timu hizo ili mshindi aingie mechi za makundi. Tatizo lipo kwetu yanga tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini kutokana na ratiba ya mechi . Ili kuzifunga mabao mengi nyumbani El Hilal au St George ni lazima kujua aina ya uchezaji wao ili mbinu zetu ziwawatawale kuanzia kwa mwanzo wa mechi mpaka mwisho.
ile tabia ya kupindua meza ili kipindi cha pili tushinde tunaweza kujikluta tunatoa sare au kushinda goli moja. hii itakuwa tatizo huko ugenini haswaa ukizingati wasudan na ethiopia kwao ni mawe sana. inabidi uongozi wa yanga umtume mtu kuspy mechi zao na kujua mbinu zao kabla ya kukutana nao. nawakilisha ushauli