Yanga furaha ya ubingwa au wazee wamepitiwa?

Yanga furaha ya ubingwa au wazee wamepitiwa?

Mmeona na nyinyi mjisemeshe muonekane mpo? Badala ya kushughulikia matatizo yenu mtoke vipi matopeni mmebaki kuijadiri Yanga tena kwa mambo yasiyo ya msingi...kweli aliyewaloga amekufa..hayaendeleeni kuipamba yanga yangu
Tupo pamoja hapa bibie wanaweweseka hao kumbe yanga mwenzangu?safi kabisa.
 
Hapo najua mkifiria afrika kaskazini tu,kwa kina Abdallah heluwa,kwisha kabisa nyong'nyong'o kabsaaaa
 
Karibu sana
Mtani nitauiga utaratibu wako kule Ulaya.
Kama wachezaji wanaenda kwa mkopo acha na sisi mashabiki tuwe tunaenda kwa mikopo at least 2 years or a year.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Nyekundu imeharibu mechi ya midstyland .... Tumepigwa.... Daaah.....
 
Huyu maandazi
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-21-21-49-17.png
    Screenshot_2016-07-21-21-49-17.png
    27.8 KB · Views: 25
Ndo mana wanapgwa sana mech za kimataifa kumbe washakiuka masharti.
 
Back
Top Bottom