Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Tupo pamoja hapa bibie wanaweweseka hao kumbe yanga mwenzangu?safi kabisa.Mmeona na nyinyi mjisemeshe muonekane mpo? Badala ya kushughulikia matatizo yenu mtoke vipi matopeni mmebaki kuijadiri Yanga tena kwa mambo yasiyo ya msingi...kweli aliyewaloga amekufa..hayaendeleeni kuipamba yanga yangu