Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Tupo pamoja hapa bibie wanaweweseka hao kumbe yanga mwenzangu?safi kabisa.Mmeona na nyinyi mjisemeshe muonekane mpo? Badala ya kushughulikia matatizo yenu mtoke vipi matopeni mmebaki kuijadiri Yanga tena kwa mambo yasiyo ya msingi...kweli aliyewaloga amekufa..hayaendeleeni kuipamba yanga yangu
Mtani ulivyoisisitiza hiyo thubutu!Thubutuuuu.........!!!
Mbona Manji hakuwepo kwenye kushangilia ubingwa?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaah mtani ndio hivyo.!Mtani ulivyoisisitiza hiyo thubutu!
Huko hakugusiki serikali yenyewe inalijua hilo,we unadhani mtu kama edo,au DJ wanaweza kuguswa?chupi zinambana Mkwere aliyemlinda hayupo so anasubiri kutumbuliwa jipu na ngosha
Tunapenda mwakani mjipange upinzani urudi punguzeni kulalamika jengeni timu yenyewe kushinda.Hizi kejeli na utani ni kuwapa morali mjipange .Hahahaah mtani ndio hivyo.!
Msimu ujao nahamia yanga.Tunapenda mwakani mjipange upinzani urudi punguzeni kulalamika jengeni timu yenyewe kushinda.Hizi kejeli na utani ni kuwapa morali mjipange .
Karibu sanaMsimu ujao nahamia yanga.
haahahah Asante mtani.Karibu sana
Mtani nitauiga utaratibu wako kule Ulaya.Karibu sana
Ni zaidi ya karibu mtani watu wana badili dini itakuja kuwa timu?karibu upunguze stress ila hongera kule mmemamaliza juu ya spurs.Msimu ujao nahamia yanga.
Kama huu ni upuuzi subirini ina maana wale wazee waliopambana kipindi kile ni wapuuziSa ivi topeni fc hawana la kusema ni upuuzi
Kombe linakwenda clubuni hana haja ya kulifuata..isitoshe yupo kwenye mkakati ya michuano ya kimataifa