Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Umefanya jambo zuri sana kuweka matokeo ya ligi kuu tu.Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa Simba katika Ligi ya Bara kwa muda wa miaka miwili mfululizo
03/07/2021: Simba 0-1 Yanga
11/12/2021: Simba 0-0 Yanga
30/04/2022: Yanga 0-0 Simba
23/10/2022: Yanga 1-1 Simba
16/04/2023 Simba 2-0 Yanga
Maana ungeweka na yale matokeo ya Ngao ya Jamii kwenye msimu wa mwaka juzi, na msimu huu! Pamoja na yale matokeo ya nusu fainali kombe la shirikisho la Azam msimu uliopita kule Mwanza; naona takwimu zako zingekuwa ni tofauti kabisa.