Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,844
Reaction score
9,916
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.

Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel.

Kilichofuata zengwe, tukaambiwa gamondi kashindwa kuwadhibiti wachezaji wakati tunajua kazi hiyo ni ya Walter. Kwakuwa master Gamondi hana baya alijiondokea ila alimchana jamaa kuwa timu kubwa haijengwi hivyo.

Mpaka sasa tuna struggle tu, huyu bwege wasasahivi asipopangiwa kikosi na kusaidiwa kwenye sub, tutapoteza mchezo dhidi ya makolo.
 
Si siku nyingi zilizopita Yanga walimfunga Simba wakicheza pressing ya hali ya juu chini ya Kocha wa sasa?
Nini shida?
Ndo maana naona bora nifatilie timu za Ulaya tu.
 
🟩🟨⬛️ MWANZO WA MSIMU: NABI vs GAMONDI vs MANQOBA! 🔥
Tazama rekodi zao katika mechi yao ya kwanza

NABI – 2021/22
✅ Kagera 0–1 Yanga
✅ KMC 0–1 Yanga
✅ Yanga 2–0 Azam
✅ Yanga 3–1 Ruvu
🤝 Namungo 1–1 Yanga

⚽ Magoli: 8
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 4/5

GAMONDI – 2023/24
✅ Yanga 5–0 KMC
✅ Yanga 5–1 JKT
✅ Yanga 1–0 Namungo
❌ Ihefu 2–1 Yanga
✅ Geita 0–3 Yanga

⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 3
🏆 Ushindi: 4/5

MANQOBA – 2026/27
✅ Namungo 1–3 Yanga
✅ Yanga 4–1 Coastal
✅ Yanga 4–0 JKT
✅ Yanga 2–0 Pamba
✅ Fountain Gate 0–2 Yanga

⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 5/5

🔥 MANQOBA
Leta statistics zako tuprove hatusahau ule mkichwa wa KAGWANDAAA!
 
Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.
 
Hivi Mkuu Yanga ya Nabi sio kwamba alianza kufungwa na Azam pale kwa Mkapa? Nakumbuka hii Game niliingia uwanjani kabisa.
 
Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike tu

Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.

Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.
Leta records zako kwanza tuprove Maquba ubovu wake ni upi kwenye hizo game zake 5 za ligi sawa na walizoanza na Gamondi
MWISHO WA KUNUKUU
 
Maboga mabichi bado yapo sanaaaaa
 
Naunga mkono hoja.

Kocha wa Sasa ni mzuri kwenye kusoma wapinzani. Ila Yuko butu kwenye tactics. Ndio maana anapanga kikosi kuchezesha watu namba tofauti na substitute za kushangaza. Pale ashukuru tu wachezaji wanapambania timu ndio maana ubovu wake hauonekani.

Zile game plan zake Sasa angepata kocha tacticians mzuri Yanga ingepiga watu goli nyingi mno. Ila kikosi kimemzidi mpiga miti. Anachagua chagua tu wa kuanza na kuwafanyia sub.
 
Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.

Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel.

Kilichofuata zengwe, tukaambiwa gamondi kashindwa kuwadhibiti wachezaji wakati tunajua kazi hiyo ni ya Walter. Kwakuwa master Gamondi hana baya alijiondokea ila alimchana jamaa kuwa timu kubwa haijengwi hivyo.

Mpaka sasa tuna struggle tu, huyu bwege wasasahivi asipopangiwa kikosi na kusaidiwa kwenye sub, tutapoteza mchezo dhidi ya makolo.
Mtatapatapa sana mtahannagika yanga hatuteteleki

Nendeni tu africa ya kusini mkawaulize gaborone uchawi mlowafundisha vipi haukufua dafu,?
 
Back
Top Bottom