Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Si siku nyingi zilizopita Yanga walimfunga Simba wakicheza pressing ya hali ya juu chini ya Kocha wa sasa?Ubora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.
Engineer alikuwa anawaharibu wachezaji Gamondi akamchana kuwa si vizuri kujenga matabaka wakiwa Serena hotel.
Kilichofuata zengwe, tukaambiwa gamondi kashindwa kuwadhibiti wachezaji wakati tunajua kazi hiyo ni ya Walter. Kwakuwa master Gamondi hana baya alijiondokea ila alimchana jamaa kuwa timu kubwa haijengwi hivyo.
Mpaka sasa tuna struggle tu, huyu bwege wasasahivi asipopangiwa kikosi na kusaidiwa kwenye sub, tutapoteza mchezo dhidi ya makolo.
Hakuna kocha muleSi siku nyingi zilizopita Yanga walimfunga Simba wakicheza pressing ya hali ya juu chini ya Kocha wa sasa?
Nini shida?
Ndo maana naona bora nifatilie timu za Ulaya tu.
Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.🟩🟨⬛️ MWANZO WA MSIMU: NABI vs GAMONDI vs MANQOBA! 🔥
Tazama rekodi zao katika mechi yao ya kwanza
NABI – 2021/22
✅ Kagera 0–1 Yanga
✅ KMC 0–1 Yanga
✅ Yanga 2–0 Azam
✅ Yanga 3–1 Ruvu
🤝 Namungo 1–1 Yanga
⚽ Magoli: 8
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 4/5
GAMONDI – 2023/24
✅ Yanga 5–0 KMC
✅ Yanga 5–1 JKT
✅ Yanga 1–0 Namungo
❌ Ihefu 2–1 Yanga
✅ Geita 0–3 Yanga
⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 3
🏆 Ushindi: 4/5
MANQOBA – 2026/27
✅ Namungo 1–3 Yanga
✅ Yanga 4–1 Coastal
✅ Yanga 4–0 JKT
✅ Yanga 2–0 Pamba
✅ Fountain Gate 0–2 Yanga
⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 5/5
🔥 MANQOBA
Leta statistics zako tuprove hatusahau ule mkichwa wa KAGWANDAAA!
Si siku nyingi zilizopita Yanga walimfunga Simba wakicheza pressing ya hali ya juu chini ya Kocha wa sasa?
Nini shida?
Ndo maana naona bora nifatilie timu za Ulaya tu.
Hivi Mkuu Yanga ya Nabi sio kwamba alianza kufungwa na Azam pale kwa Mkapa? Nakumbuka hii Game niliingia uwanjani kabisa.🟩🟨⬛️ MWANZO WA MSIMU: NABI vs GAMONDI vs MANQOBA! 🔥
Tazama rekodi zao katika mechi yao ya kwanza
NABI – 2021/22
✅ Kagera 0–1 Yanga
✅ KMC 0–1 Yanga
✅ Yanga 2–0 Azam
✅ Yanga 3–1 Ruvu
🤝 Namungo 1–1 Yanga
⚽ Magoli: 8
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 4/5
GAMONDI – 2023/24
✅ Yanga 5–0 KMC
✅ Yanga 5–1 JKT
✅ Yanga 1–0 Namungo
❌ Ihefu 2–1 Yanga
✅ Geita 0–3 Yanga
⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 3
🏆 Ushindi: 4/5
MANQOBA – 2026/27
✅ Namungo 1–3 Yanga
✅ Yanga 4–1 Coastal
✅ Yanga 4–0 JKT
✅ Yanga 2–0 Pamba
✅ Fountain Gate 0–2 Yanga
⚽ Magoli: 15
🧤 Yaliyofungwa: 2
🏆 Ushindi: 5/5
🔥 MANQOBA
Leta statistics zako tuprove hatusahau ule mkichwa wa KAGWANDAAA!
Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike tu
Mechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.
Leta records zako kwanza tuprove Maquba ubovu wake ni upi kwenye hizo game zake 5 za ligi sawa na walizoanza na GamondiMechi 3 zamwisho kipindi cha gamondi zilichezwa kwa maelekezo, hebu leta record ya gamondi toka afike mpaka aondoke.
HakikaHaya matakataka yenu simba na Yanga ndio yanawapumbaza watanzania wasidai katiba mpya. Bora yafungwe.
Hizi Sasa ndiyo nongwaManquba muhuni tu hamna kocha mle
kwani uongo?Hizi Sasa ndiyo nongwa
Mtatapatapa sana mtahannagika yanga hatutetelekiUbora wa wachezaji waliopo yanga hauendani na hili boko wanalotoa. Tangu engineer amfukuze Gamondi kisa Gamondi kamwambia ukweli, timu imekosa mwelekeo, inashinda kiujanja ujanja.