Yanga Haijapata Kocha. Engineer Hersi Mwombe Msamaha Gamondi Arejee Jangwani

Oktoba 10 tunataka kuwaingizia uume yanga Hadi kwenye kizazi..
 
Kocha mbovu na timu mbovu.
 
Ila si timu inashinda? Wabongo acheni ujuaji kwahiyo mnataka soka safi bila Matokeo? Matokeo ndio Kila kitu haijalishi timu inachezaje sie wengine huwa hatuangalii kabisa mechi za NBC premier league ila mwisho wa msimu tunajua timu flani ni bingwa basi tunawapa hongera na inakuwa umeingia Kwenye record
 
Leta records zako kwanza tuprove Maquba ubovu wake ni upi kwenye hizo game zake 5 za ligi sawa na walizoanza na Gamondi
MWISHO WA KUNUKUU
Timu inashinda ila ujanja ujanja ,, especially ligi ya NBC.
Ni kama movie ya kihindi staring anampiga mtu na ndizi ya kichwa anampasua ubongo..
Tunaiyona yanga kimataifa inavyo struggle.
 
Timu inashinda ila ujanja ujanja ,, especially ligi ya NBC.
Ni kama movie ya kihindi staring anampiga mtu na ndizi ya kichwa anampasua ubongo..
Tunaiyona yanga kimataifa inavyo struggle.
Msiende na matokeo yenu mfukoni Mkuu Yanga kafanya vizuri kwa hao Botswana na pia wenzetu nao wanajiandaa nipo Gaborone nao wenzetu jinsi walivyo na viwanja vya wazi vya mtaani vingi watoto na umri wa kati wakicheza mechi sisi kwetu huko viwanja vipo wapi na wanapiga mpira kweli...
Mnataka Yanga ashinde goli tano kwa Timu zinazojua kuziba mianya ya mpira aisee.
 
Yanga inashinda kwa ujanja na mipango nje ya uwanja kwenye ligi ya NBC.
Kipimo cha mpira wa kwl ni caf na hatuoni chchote..
Ndy maana mashabiki wanapiga kelele sababu wanajuwa maagizo ya mechi za ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…