Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa
Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa kufikisha hata points 9 tu badala yake kila msimu wameishia kufikisha alama 8 pekee
Ukirejea kwa watani wao wakubwa Simba ambao wamecheza na kufuzu hatua ya makundi klabu bingwa kwa zaidi ya mara 4 ndani ya miaka hii mitano haijawahi hata kwa bahati mbaya kumaliza na points kiduchu (08) kiasi hicho.
Yanga wamecheza robo fainali moja ya klabu bingwa lakini hata hivyo walishindwa kushinda mchezo hata mmoja kati ya miwili mmoja nyumbani na ugenini na hawakubahatika kufunga hata goli moja kwenye hatua hiyo.
Yanga msimu huu akimaliza na points zake 8 kwenye kundi kama kawaida yake ameshindwa kuvuka hatua ya makundi kwa kuzuiwa na timu za kawaida mno Al Hilal ya sudan na MC Alger timu ambazo hata kwenye ranks za caf si miongoni hata mwa timu 10 bora africa.
Hebu fikiria hii ndio Yanga bora iliyotawala ligi ya ndani kwa misimu karibu mitatu lakini mpaka sasa wana robo fainali moja tu tena ya kuvuka kwa points 8
Ni kujifariji tu ukiwasikia wanayanga wakisema "We will bounce back stronger" lakini ukweli hata wao wanaujua Yanga hawana uwezo wowote wakushtua klabu bingwa afrika na hata hiyo robo fainali moja waliyoipata ilikuwa bahati na inaweza kupita zaidi ya miaka mitano kupata robo fainali nyingne ya klabu bingwa