Yanga haijawahi kuwa klabu ya maana kimataifa

Yanga ilinyanganywa wapi nafasi ya kwenda nusu fainali wakati ilicheza dk 180 bila kufunga goli hata moja na kwenye matuta wakawa wanapaisha tu kama wachezaji wa ndondo
Huwezi ona alikonyang'anywa Kwa 7bu umejipanga kuona mabaya ya Yanga tu na si mazuri
 
Nioneshe club nyingine zaidi ya Yanga yenye picha kama hii Tanzania
 
Nimesikitika sana nilipogundua kuwa ukizichukua timu zote 16 za makundi ya CAFCL ukazipanga pamoja na points zao za mwisho, Yanga itashika nafasi ya 10!
 
Robo Fainali mara moja ndani ya miaka 30 lakini Makelele meengi kama anabakwa
 
Ukweli ndio huo utopolo ni timu ya kawaida Sana Kwenye mashindano inayokutanisha wakubwa, Yaani ni underdog. Utopolo nawaambia hivi Al hilal aliewaongozea kundi , ndani ya misimu mitano iliyopita ya CAFCL hakuwahi kuingia robo alikuwa anaishia nafasi ya tatu au nne Kwenye makundi. Alipokutana na vilaza zaidi pamoja na yeye kufungwa mechi 2 lakini bado akaongoza kundi.
 
Mbona nimeeleza hapo kuwa Yanga ni mabingwa wa ligi ya ndani mara 3 mfululizo
Sasa kama unajua hivyo unataka la maana lipi Mzee au unataka akacheze bundasliga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…