Yanga haikamatiki yaendekea kuwasha moto pale Mjini Twitter

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
BREAKING:Kwa mujibu wa jarida la Depor finanzas la Turkey [emoji1250], hizi ndizo klabu zenye ushawishi Mkubwa Afrika katika mtandao wa twitter kwa mwezi May 2023

1. 1.86M - [emoji1093] Al Ahly

2. 460k - [emoji1241] Yanga SC

3. 319k - [emoji1241] Simba SC

Kuna mdau hapa jf alikuwa analalamika kuwa timu yao imepoteza ushawishi[emoji23][emoji23]......sio Makombe tu .....

Yanga ni kama maji ....ukiyakwepa asubuhi kuoga .....utakutana nayo mchana jua likianza......usipoiongelea hapa bongo ......ujue Ina ongelewa abroad hata Kwa Mzee Erdogan [emoji23][emoji23]
 
Unafahamu Yanga ana followers chini ya 1 mil.?
Unafahamu ya kuwa Simba ana 1.2 mil followers?

Kilichoangaliwa siyo wingi wa followers!! Ushawishi katika kipindi cha mwezi May!!

Vinaangaliwa vitu vingine kabisa moja wapo ni uactive wa followers wako, repost, reply na hata post yako ilivyotembea kwenye mitandao!!
 
Yanga ilibustiwa ilipocheza na Simba na kukandwa na Kibu D. Yanga washukuru sana mipaka ya mkoloni iliyosababisha kujikuta katika ligi moja na Simba, hivihivi wangekuwa wanaiona Simba kwenye TV tu kama Real Madrid.
 
Kilichoangaliwa siyo wingi wa followers!! Ushawishi katika kipindi cha mwezi May!!

Vinaangaliwa vitu vingine kabisa moja wapo ni uactive wa followers wako, repost, reply na hata post yako ilivyotembea kwenye mitandao!!
Ni kweli kabisa ila wanayanga wanaiaibisha klabu Yao , yaani kule Twitter Yanga klabu kubwa inakuwa na below 500K?
Yanga inawezekana ana engagements kibao kutokana na vitu alivovifanya msimu huu ila sasa engagements bila kuwashawishi wakufollow ni kazi Bure na pia kupata matangazo inakuwa sio sana kama ukiwa na active followers.
 
SIMBA ANAWAFUASI WENGI ZAIDI.

1. Ukiweka MICHANGO Simba anaongoza.

2. Social Media/ mitandao ya kijamii Simba anaongoza mbali mno.

3.Kujaa Uwanjani.
Simba anaongoza mbali mno.

TATIZO KUBWA YANGA WENYE AKILI JI WAWILI TU.
 
Kilichoangaliwa siyo wingi wa followers!! Ushawishi katika kipindi cha mwezi May!!

Vinaangaliwa vitu vingine kabisa moja wapo ni uactive wa followers wako, repost, reply na hata post yako ilivyotembea kwenye mitandao!!
Ni kweli unachosema ila sasa Kuna Faida Gani ya kuwa na ushawishi mkubwa bila kuwashawishi watu wakufollow?
Yanga ana followers below 300K pale Twitter na ananunua bluetick Kila mwezi.
Simba ana followers 1.2-1.3 mil.
 
Mbona hawajawasaidia kubeba hata kombe la uji mwaka wa pili sasa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mimi sishabikii klabu yoyote hapa Bongo ndo maana kwenye screenshot pic kutoka akaunti yangu ya Twitter unaona sijafollow klabu yoyote.
Pili wao kutochukua ubingwa sijui sababu maana mi ni shabiki wa Liverpool EPL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…