Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Kama hajakuelewa .....tumtumie notes kabisa[emoji23]Kilichoangaliwa siyo wingi wa followers!! Ushawishi katika kipindi cha mwezi May!!
Vinaangaliwa vitu vingine kabisa moja wapo ni uactive wa followers wako, repost, reply na hata post yako ilivyotembea kwenye mitandao!!