Yanga haikamatiki yaendekea kuwasha moto pale Mjini Twitter

Mashabiki wa simba wasione jambo lolote lile la kuonesha wamezidiwa na kaka zao Yanga! Lazima watabisha tu.
 
Yanga ilibustiwa ilipocheza na Simba na kukandwa na Kibu D. Yanga washukuru sana mipaka ya mkoloni iliyosababisha kujikuta katika ligi moja na Simba, hivihivi wangekuwa wanaiona Simba kwenye TV tu kama Real Madrid.
Mkuu dish lako limeyumba kidogo.

Yanga Ina wachezaji 4 Taifa Stars wanaonza Simba mmoja, Yanga Ina makombe yote ya ndani Simba Haina kitu, Yanga ilifika fainali Shirikisho Africa, Simba ilimaliza mwendo robo. Kuna kitu hakiko sawa kwako jipeleke hospital! Unajisifu Kwa 'Hamna' pole sana!

Simba iliifunga Yanga goli la mchongo kuanzisha Kona bila filimbi ya refa hebu Rudi kwenye ukweli!
 
Tuwavumilie hawa ndugu zetu Makolo
 
Back
Top Bottom