Yanga haikamatiki yaendekea kuwasha moto pale Mjini Twitter

Kilichoangaliwa siyo wingi wa followers!! Ushawishi katika kipindi cha mwezi May!!

Vinaangaliwa vitu vingine kabisa moja wapo ni uactive wa followers wako, repost, reply na hata post yako ilivyotembea kwenye mitandao!!
Kama hajakuelewa .....tumtumie notes kabisa[emoji23]
 
Yanga ilibustiwa ilipocheza na Simba na kukandwa na Kibu D. Yanga washukuru sana mipaka ya mkoloni iliyosababisha kujikuta katika ligi moja na Simba, hivihivi mngekuwa mnaiona kwenye TV tu kama Real Madrid.
Alafu utakuta una familia na inakutegemea kabisa [emoji23][emoji23]
 
SIMBA ANAWAFUASI WENGI ZAIDI.

1. Ukiweka MICHANGO Simba anaongoza.

2. Social Media/ mitandao ya kijamii Simba anaongoza mbali mno.

3.Kujaa Uwanjani.
Simba anaongoza mbali mno.

TATIZO KUBWA YANGA WENYE AKILI JI WAWILI TU.
Makombe vpi[emoji23]
 
Ukimtoa Baba yangu mzazi pamoja na Mzee Kikwete pale Yanga, wengine wote waliobaki ni hamnazo.
Source: Manara's voice
Simba ana ushawish mkubwa kuliko Yanga hilo gazet ni la mchongo
Hili lipo pale mjini instanbul turkey
 
Kwa hizo takwimu bado simba yupo juu, hana kombe lolote lakini kashikilia namba 3...
 
Unafahamu Yanga ana followers chini ya 1 mil.?
Unafahamu ya kuwa Simba ana 1.2 mil followers?
Twitter
Masahihisho:

Simba: 1.3 million.

Yanga: 360k.

Kikichoifanya Yanga kuwa na ushawishi mwezi Mei ni kushiriki fainali ya CAF ahirikisho. Zaidi ya hapo Simba anakuwa juu zaidi ya timu zote ukanda wa CECAFA,siyo juu ya Yanga tu pekee.
 
Hapana bro, Yanga wako muda mrefu sana mtandaoni, sema mashabiki wa Yanga ndo mnagoma kufollow au wengi wenu hamtumii Twitter.
Wengi walikuwa hawapendi kujitambulisha kama mwanayanga maana ilikuwa ni aibu na fedheha. Ni sasa hivi kidogo juhudi zimefanyika imekuwa kidogo "cool" hata kuvaa jezi za Haier hadi unaona hata pisi zinavaa jezi zao. Wamesogea si uongo.
 
Masahihisho:

Simba: 1.3 million.

Yanga: 360k.

Kikichoifanya Yanga kuwa na ushawishi mwezi Mei ni kushiriki fainali ya CAF ahirikisho. Zaidi ya hapo Simba anakuwa juu zaidi ya timu zote ukanda wa CECAFA,siyo juu ya Yanga tu pekee.
Yanga wanajitafuta.....soon watamshusha Al ahly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…