Mkuu dish lako limeyumba kidogo.Yanga ilibustiwa ilipocheza na Simba na kukandwa na Kibu D. Yanga washukuru sana mipaka ya mkoloni iliyosababisha kujikuta katika ligi moja na Simba, hivihivi wangekuwa wanaiona Simba kwenye TV tu kama Real Madrid.
Ni kweli unachosema ila sasa Kuna Faida Gani ya kuwa na ushawishi mkubwa bila kuwashawishi watu wakufollow?
Yanga ana followers below 300K pale Twitter na ananunua bluetick Kila mwezi.
Simba ana followers 1.2-1.3 mil.
Tuwavumilie hawa ndugu zetu MakoloMkuu dish lako limeyumba kidogo.
Yanga Ina wachezaji 4 Taifa Stars wanaonza Simba mmoja, Yanga Ina makombe yote ya ndani Simba Haina kitu, Yanga ilifika fainali Shirikisho Africa, Simba ilimaliza mwendo robo. Kuna kitu hakiko sawa kwako jipeleke hospital! Unajisifu Kwa 'Hamna' pole sana!
Simba iliifunga Yanga goli la mchongo kuanzisha Kona bila filimbi ya refa hebu Rudi kwenye ukweli!
Nani ahangaike na mbumbumbu FC😂Unafahamu Yanga ana followers chini ya 1 mil.?
Unafahamu ya kuwa Simba ana 1.3 mil followers?