Yanga Haina ugomvi na Fei Toto, bali na Timu inayomtaka

Wechezaji wazawa wenye akili kama huyu ni wachache sana, mkataba unakaribia kufikia ukingoni Menejimenti ya mchezaji wamekaa mezani na Timu wamekubaliana na kuongeza mkataba na si kama yule Zuwena kukimbia kambi na kuanza kupiga kelele kama waimba taarab!

Your browser is not able to display this video.
 
Eti itumike busara!! Nonsense, yaani Azam au Simba wapate mchezaji mwenye mkataba na timu kwa kutumia busara.
 
Kufungwa Yanga na Simba kimempa Fei ahueni, lakini Kamwe busara isitumike kuamua hatma yake Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…