Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,436
- 1,769
Huwa wanashauriwa watafute mwingine ila wanakaza fuvuHamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.
Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??
Sasa kila siku kwanini mnapenda kufungua kesi? Ambazo hamjawahi kushinda mnaishia kutembezewa runguLengo la kwanza la club ni kushinda matches, lengo la kushinda kesi la TLS na Fatuma Karume!
Tunawalaumu Wataalamu bure, Shida ipo kwa viongozi. Wanadharau WataalamuHamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.
Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??
MImi ni Yanga ila hili jambo linafikirisha sana MkuuSasa kila siku kwanini mnapenda kufungua kesi? Ambazo hamjawahi kushinda mnaishia kutembezewa rungu
Ninacheka ila hii ni fedheha kubwa kushindwa kila mara kwa mikurupuko!! Si afadhali tungecheza kuliko kukaa muda wote kwa false hopes?Kama hujawahi kumuona mtumishi hewa tangu uzaliwe basi mtafute mwanasheria wa utopolo ukimuona utakua umefanikiwa kumuona mtimishi hewa
Hawatofautiani sana na wale wapigaji waliowaletea Manzoki kipindi cha uchaguzi kuwa atasajiliwa na Simba SC na kupiga naye picha kisha kimya milele.Kuna mtu anawala....
I mean anakula pesa kupitia kesi zao
Mwanasheria wa utopolo lazima awe utopolo pia. Sasa utopolo atashindaje kesi?Kama hujawahi kumuona mtumishi hewa tangu uzaliwe basi mtafute mwanasheria wa utopolo ukimuona utakua umefanikiwa kumuona mtimishi hewa
Najua tu mwenyekiti wa kitongoji anatakiwa awe na kitongoji chenye ukubwa wa viwanja 60 vya mpira kama VaticanNinacheka ila hii ni fedheha kubwa kushindwa kila mara kwa mikurupuko!! Si afadhali tungecheza kuliko kukaa muda wote kwa false hopes?
Wameshindwa niniHamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii.
Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo tu kwamba ni aina ya mashauri gani yanasikilizwa na CAS na ambayo hayasikilizwi??