DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24.
Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema Zetu, ni wazi itawachukua tena miaka 53 kabla hawajanusa tena robo fainali ya CAFCL.
Wangapi mtakuwa hai mwaka 2076 mtakaposhuhudia tena Yanga ikitinga kwa kishindo robo fainali?