DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Halafu mkawa mnatudanganya mlifika robo fainali 1998. Nyie vyura lini mtaacha kutupiga fiksi?simba haitavuka robo fainali mpk yanga achukue kombe la afrika mwaka 2076
NASISITIZA...simba haitavuka robo fainali mpk yanga achukue kombe la afrika mwaka 2076Halafu mkawa mnatudanganya mlifika robo fainali 1998. Nyie vyura lini mtaacha kutupiga fiksi?
Simba watapata tu,angalao losers cup baada ya miaka 2500Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24.
Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema Zetu, ni wazi itawachukua tena miaka 53 kabla hawajanusa tena robo fainali ya CAFCL.
Wangapi mtakuwa hai mwaka 2076 mtakaposhuhudia tena Yanga ikitinga kwa kishindo robo fainali?
View attachment 3288766
Atakuwa spider man bila shaka?
Haya ndiyo tunaita matumaini hewa. Yaani usifike robo fainali kwa miaka 53, halafu uingia tu uchukue ubingwa? Ina tofauti gani na matumaini mliyokuwa nayo msimu huu matokeo yake kila mtu akawa anajipigia? Hamjifunzi tu.NASISITIZA...simba haitavuka robo fainali mpk yanga achukue kombe la afrika mwaka 2076
BASI 2076 TUTAVUKA ROBO FAINALI ILA KUCHUKUA UBINGWA WA AFRIKA 2090,HAPO NDO SIMBA ATAVUKA ROBO FAINALI...UNAIONAJE IYO,IMEKAA POWA?Haya ndiyo tunaita matumaini hewa. Yaani usifike robo fainali kwa miaka 53, halafu uingia tu uchukue ubingwa? Ina tofauti gani na matumaini mliyokuwa nayo msimu huu matokeo yake kila mtu akawa anajipigia? Hamjifunzi tu.
Utopolo mmezubaa mnoo.Ngoja mchangamshwe.Moderator hii ndiyo nini sasa! Mtu amekula pilau la Eid na kupitiliza kipimo! Anakuja kuanzisha mada isiyo na kichwa wala miguu, mnaiacha tu!
Hamuoni kama mnamfedhehesha huyu mtoa mada! Fanyeni mu msitiri huyu mtu. Atakuwa amevimbiwa huyu.
Mods wekeni TOZO kwa kila uzi kuchuja taka
Aliyewaita MBUMBUMBU ajengewe sanamu😀
Simba watapata tu,angalao losers cup baada ya miaka 2500
Hivi mjue miaka 53 ni zaidi ya nusu karne. Hiyo ni zaidi ya miongo mitano. Inasikitisha saaana.Moderator hii ndiyo nini sasa! Mtu amekula pilau la Eid na kupitiliza kipimo! Anakuja kuanzisha mada isiyo na kichwa wala miguu, mnaiacha tu!
Hamuoni kama mnamfedhehesha huyu mtoa mada! Fanyeni mu msitiri huyu mtu. Atakuwa amevimbiwa huyu.
Mola awarehemu Utopolo.Aiiiimeeen!Hivi mjue miaka 53 ni zaidi ya nusu karne. Hiyo ni zaidi ya miongo mitano. Inasikitisha saaana.
Utakuja kuujutia huu uzi wako! Hakika nakuambia. Ngoja nimkumbushe mapema Mfufua Nyuzi ili auweke kwenye kumbukumbu zake.Hivi mjue miaka 53 ni zaidi ya nusu karne. Hiyo ni zaidi ya miongo mitano. Inasikitisha saaana.
Uzuri ndani ya siku 9 zijazo tunavuka zetu kwenda nusu fainali. Sisi waaleee!BASI 2076 TUTAVUKA ROBO FAINALI ILA KUCHUKUA UBINGWA WA AFRIKA 2090,HAPO NDO SIMBA ATAVUKA ROBO FAINALI...UNAIONAJE IYO,IMEKAA POWA?
Wao wanasubiri droo ya shirikisho.Utopolo ni bure kabisa.Uzuri ndani ya siku 9 zijazo tunavuka zetu kwenda nusu fainali. Sisi waaleee!