DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
-
- #21
Wanasubiri kucheza na Birigimana Shooting FC.Wao wanasubiri droo ya shirikisho.Utopolo ni bure kabisa.
Hawa jamaa tuwaandalie siku tuwaombee dua njema kama tunavyoombea mvuaWanasubiri kucheza na Birigimana Shooting FC.
Kwanza kwa jinsi shilingi ilivyoporomoka, hawa vyura kuanzia timu nzima, wachezaji au viongozi wakionekana wanasafiri kwenda nje ya nchi wakamatwe. Hawana tena sababu yoyote ya kupanda ndege inayoenda nje ya nchi msimu huu.
Kwani Mfufua Nyuzi ana mpango wa kuwa hai miaka 53 ijayo?Utakuja kuujutia huu uzi wako! Hakika nakuambia. Ngoja nimkumbushe mapema Mfufua Nyuzi ili auweke kwenye kumbukumbu zake.
Uzuri ndani ya siku 9 zijazo tunavuka zetu kwenda nusu fainali.
basi yanga nxt season atashinda kombe la klabu bingwa afrikaUzuri ndani ya siku 9 zijazo tunavuka zetu kwenda nusu fainali. Sisi waaleee!
Usichoelewa ni nini?basi yanga nxt season atashinda kombe la klabu bingwa afrika
Huyu ameshaingia kwenye kundi la Mwasibu OkwiBobanSunzu. Na uzuri msimu ujao hata siyo mbali. Ataanza tu kuumbuka.Madhara ya pilau la Eid tena usikute la kudowea.
Mimi sijawahi kukosea toka nimejiunga JF. Yanga naijua kama kiganja cha mkono wangu.Huyu ameshaingia kwenye kundi la Mwasibu OkwiBobanSunzu. Na uzuri msimu unao hata siyo mbali. Ataanza tu kuumbuka.
Naam. TUTAKUWEPOKwani Mfufua Nyuzi ana mpango wa kuwa hai miaka 53 ijayo?
Maneno ya uzi huu yataishi hadi pale wote mnaosoma uzi huu mtakapodondoka. Sidhani kama kuna mtu humu atasavaivu hadi 2076, sidhani, hahah.