Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Sina cha kukusaidia endelea kung'ata meno...maneno yako hayabadilishi jua kuwa giza...Wewe utakua una ugulia maumivu!!!
Ila kumbuka wengi ndio hushinda so kama wengi wenu ndio wanaotukana na kusema maneno makali kwa viongozi basi wote tuna conclude nyie ni.....so hata wewe utakua among them.