Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

Mkuu kama ulikuepo vile, mpira unahitaji uvumilivu na uelewa tu vinginevo utafukuza Kila kukicha.
Mkuu yani kuna Team hapa Bongo hua inajipa asilimia 100 kila kitu na ikitokea imefeli haina subra utasikia kila aina ya maneno.
 
Ushaniona mimi nalalamika au nalalamikia uongozi?.utakua umenifananisha ndg yangu...ila wapo wenye nongwa utawaona.
Wewe utakua una ugulia maumivu!!!
Ila kumbuka wengi ndio hushinda so kama wengi wenu ndio wanaotukana na kusema maneno makali kwa viongozi basi wote tuna conclude nyie ni.....so hata wewe utakua among them.
 
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.

Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.

Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Ngoja nimcheki mzee MAGOMA kwanza.
 
MFA MAJI.alafu simba tumetulia tu,
Mara ohoo tutawafunga nane.sisi kimya. Sasa hivi mmeanza kuogopa.tukutane uwanjani .
tuombeane uzima
 
Hivi simba ujasiri wa kuamini mtaifunga yanga mnautoa wapi?

Serious kuna kolo linaamini simba ataifunga yanga?
Si juzi tu mmebondwa 2 kwa bila? Ngao ya jamii simba si kachukua kwa yanga au?
 
Ila linanikeraa hili Jina letu tunaloitwa et Utopoloo,aaseee hakuna mchawiii humu anisaidie,
Kisaikolojia ukichukia jina unasikia vibaya ukiitwa kwa jina hilo, dawa ni kulikubali jina na kulitumia hata watu wakikuita inakuwa fresh tu, mi ni Yanga na jina uto nimelipokea na wala sisikii vibaya wakituita mashabiki wa Yanga kama utopolo au uto, kwangu fresh tu maana kipondo tunachowapa makolokocho mbumbumbu FC ni next level, hivi sasa ushindi dhidi yetu wanautafuta kwa tochi Pemba , Sumbawanga hadi Nigeria.

Binafsi siioni siku ya makolokocho mbumbumbu FC kuishinda Yanga katika miaka ya utawala wa Maza!!
 
Wewe ndio utakua wakwanza kumkosoa kocha.
Na hvivi kocha anamaluelue ya kurukaruka kama Guardiola basi msimu huu ata jambaa mnoo .
Yote ongeeni.sisi walaaa.
Nyie si bora kuliko sisi?.haina shida tukutane uwanjani. Maana mmekariri
 
Naapa mbele ya Mungu wangu ata kama mpira una maajabu ila simba hii haiwezi kuifunga yanga piga uwa galagaza ata droo ni big no Goli zitaanzia nne kwenda juu.
 
Yanga anamfunga Simba ingawaje mechi zao ubora sio kigezo saana ila trip hii wanakaa sio watapitia wapi...
 
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.

Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.

Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahati mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8

Soma Pia: Boiboi mkali: Natamani Simba wasikutane na Yanga tarehe 8

#tHeFiRstBoRn
Kweli kabisa.
 
Nashauri viti viongezewe uimara, kama ni misumari wagongelee tena, wakifungwa huwa wanang'oa viti hao ubwela fc
 
Back
Top Bottom