Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahati mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
Soma Pia: Boiboi mkali: Natamani Simba wasikutane na Yanga tarehe 8
#tHeFiRstBoRn