Wewe utakua una ugulia maumivu!!!
Ila kumbuka wengi ndio hushinda so kama wengi wenu ndio wanaotukana na kusema maneno makali kwa viongozi basi wote tuna conclude nyie ni.....so hata wewe utakua among them.
Jidanganye. Kati ya mashabiki ambao sio wavumilivu basi ni wa Uto. Yaani huwa wanamrushia hadi makopo kocha na kuzomea wachezaji wao wakifanya vibaya. Wewe unafikiri Kwa nini luc eymel aliwaita mnabweka kama mambwa, manyani, uneducated?
Naapa mbele ya Mungu wangu ata kama mpira una maajabu ila simba hii haiwezi kuifunga yanga piga uwa galagaza ata droo ni big no Goli zitaanzia nne kwenda juu.