Yanga hatoshinda leo

Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Wewe unadhani Yanga kama nyinyi timu yenu inayocheza uharo mtupu idiot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…