Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani Yanga kama nyinyi timu yenu inayocheza uharo mtupu idiotNiwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Sisi hatuchezi ushubwada weweWakifungwa nitafurahi sana
Bora umemwambia ukweli.Acha uchawi mimi ni mnyama lakini hili ni jambo la kitaifa
HamtashindaSisi hatuchezi ushubwada wewe
Acha uchawi wako.Mimi ni Shabiki wa SIMBA SC
Tumewazoea nyinyi wala hatupati shida na nyinyi[emoji23]Hamtashinda
Tuna point 6 nyie mna 4Tumewazoea nyinyi wala hatupati shida na nyinyi[emoji23]
Jaribu kujiandaa kuufutaYanga hawatokuja hapa baada ya saa 2 na dakika 30 usiku
Muda ni mwalimuSiufuti wala ku edit
Ila nafahamu leo hakuna ushindi kwa Yanga