Yanga hatoshinda leo

Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Mkuu tumekutoboa tundu hahahaha
 
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Tafuta pa kuweka sura yako kwa aibu uliyoipata.
 
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Mmekalia ushambenga tu kama wanawake wa kijiwe samli umeona wanaume wale Pira linapigwa na ushindi zaidi goli moja sio nyinyi papatu papatu mkiulizwa eti ohoooo Sisi tunacheza klabu bingwa subiri siku tutakapokutana kwenye ndipo utakaposadiki Yanga ni baba lao
 
Nyie mataka taka ya UTOMAX mnajiona mnatiiiimu kwa kumfunga kibonde mwenzenu banyako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…