muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
kajizima dataUnajisikiaje kwa sasa baada ya matokeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kajizima dataUnajisikiaje kwa sasa baada ya matokeo?
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Tofauti yako na ng'ombe wa Mayele ni idadi ya miguu tu.Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Mkuu tumekutoboa tundu hahahahaNiwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Imeshakua huku.Iwe hivyo tufurahi
Tafuta pa kuweka sura yako kwa aibu uliyoipata.Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Mmekalia ushambenga tu kama wanawake wa kijiwe samli umeona wanaume wale Pira linapigwa na ushindi zaidi goli moja sio nyinyi papatu papatu mkiulizwa eti ohoooo Sisi tunacheza klabu bingwa subiri siku tutakapokutana kwenye ndipo utakaposadiki Yanga ni baba laoNiwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Njoo hapaNaamini nawe hautojificha baada ya matokeo
Unajisikiaje baada ya matokeoSiufuti wala ku edit
Ila nafahamu leo hakuna ushindi kwa Yanga
Kweli hiyo mkichwa wako ni Dispenser ya Mate tuNyie mataka taka ya UTOMAX mnajiona mnatiiiimu kwa kumfunga kibonde mwenzenu banyako