Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajisikiaje kwa sasa baada ya matokeo?Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Usikimbie uzi ikifika saa 3Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Sasa umewezaje kujua mambo ambayo hayajatokea kama sio nguvu za giza?Mimi sio Mganga
Sawa afande mzenji😅YANGA HASHINDI
Sawa Mkuu.Kuna vitu avihitaji uganga kuvitabiri