kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Aisee umeandika kwa uchungu sana, nimejikuta nacheka badala ya kukuhurumia.[emoji23][emoji23]Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
πππ naona unataka ugomvi ngoja deportivo toleo la kwanza waje na mapangaSisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Mwaka huu tutawakeketa mchana kweupeeeeee,tarehe 3 July,Kigoma tutawapasua mbaya na ngao ya hisani tunawabokoaSisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?