kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee umeandika kwa uchungu sana, nimejikuta nacheka badala ya kukuhurumia.[emoji23][emoji23]Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
😁😁😁 naona unataka ugomvi ngoja deportivo toleo la kwanza waje na mapangaSisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Mwaka huu tutawakeketa mchana kweupeeeeee,tarehe 3 July,Kigoma tutawapasua mbaya na ngao ya hisani tunawabokoaSisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.
Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?