Yanga hatupeleki timu mwamuzi wa mechi ya Azam na Simba amekiuka kanuni

Yanga hatupeleki timu mwamuzi wa mechi ya Azam na Simba amekiuka kanuni

Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.

Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Aisee umeandika kwa uchungu sana, nimejikuta nacheka badala ya kukuhurumia.[emoji23][emoji23]
 
Ila mnyama ni hatari sijui utopolo atasingizia nn
 
Sisi hatukubali kupeleka timu kucheza na Simba kwani goli lao halikuwa halali.

Kwa nini sisi TFF inatuonea jamani?
Mwaka huu tutawakeketa mchana kweupeeeeee,tarehe 3 July,Kigoma tutawapasua mbaya na ngao ya hisani tunawabokoa
 
Back
Top Bottom