YANGA hatupo vizuri kucheza mechi kwenye jua. Mechi kuanza saa 10 jua bado kali.. Yanga tunaweza kufungwa Dar

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Habari wadau.

Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..

Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.

Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
 
Kwaninwanaoamua muda ni caf au yanga ndio wanapendekeza?
 
Wewe shabiki maharage kaa mbali
 
Habari wadau.

Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..

Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.

Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye ju
Wewe na familia ndio mnaocheza uwanjani?
 
Habari wadau.

Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..

Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.

Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
Umetoa point nzuri sana. Najua walijaribu sana kubadili muda wa mechi ikashindikana
 
Naona presha ya utopwinyo iko juu kuliko kawaida..
 
Habari wadau.

Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..

Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.

Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
Tuache mbwembwe, kwani hao wachezaji ni Ice cream, au Medeama wamezoea shida sana. Timu bora haichagui uwanja.
 
Habari wadau.

Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..

Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.

Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
UNATESEKEA WAPI WEWE BWEGE? YANGA HAIJAWAHI KUWA NA SHIDA YA KUCHEZA JUANI HATA SIKU MOJA
 
Back
Top Bottom