Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na familia ndio mnaocheza uwanjani?Habari wadau.
Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..
Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.
Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye ju
Umetoa point nzuri sana. Najua walijaribu sana kubadili muda wa mechi ikashindikanaHabari wadau.
Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..
Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.
Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
CafKwaninwanaoamua muda ni caf au yanga ndio wanapendekeza?
Tuache mbwembwe, kwani hao wachezaji ni Ice cream, au Medeama wamezoea shida sana. Timu bora haichagui uwanja.Habari wadau.
Yanga tupo vizuri sana kwenye mechi zenye mazingira mazuri ya hali ya hewa ya kutochoka.. maana mpira wetu ni pasi za kutosha..
Kucheza juani naona kabisa kutoboa ngumu leo.
Yanga huwa tunateseka sana kucheza kwenye jua
UNATESEKEA WAPI WEWE BWEGE? YANGA HAIJAWAHI KUWA NA SHIDA YA KUCHEZA JUANI HATA SIKU MOJAHabari wadau.