Yanga hawaitambui mechi vs simba ya tarehe 3 July..

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote wanaangushia jumba bovu wasiohusika jameni tarehe 3 hawa jamaa wanakimbia tena.
Your browser is not able to display this video.
 
huyu mtu kwenye taarifa yake alisema SERIKALI ILIKUWA NA NIA NJEMA KUSOGEZA MECHI MBELE KWA MASAA MATATU....laiti kama angekuwa simba ....uuuuwiiiiii uwiiiiiiiiiii sasa ngoja tusubiri hiyo tarehe 3 dah kudadeeeeki utopolo kibooko aiseee washajua itabidi wafanye GUARD OF HONOR hawataki,wazee wa kanuni hao...
 
Kinachowauma Yanga ni kwamba kuna uwezekano mpaka mechi ya Simba....tayari mnyama atakuwa ameshatangaza ubingwa......sasa wao roho yao inawauma kuwakabidhi Simba ubingwa.......

😂 😂 😂
 
Yanga mna tatizo la kiuongozi au mnapenda lawama tu na (kiki?)
sasa mtu kama tarimba anasimama bungeni anasema simba walichungulia wakaona mechi watafungwa wakasogeza mechi mbele na yeye anaujua ukweli kwamba ni waziri alisogeza mechi tena mwanayanga mwenzake unatrajaia nini?
Viongozi wa yanga wamepata chaka zuri sana la kujifichia ..kila lawama ni TFF basi..na haya yote ni makusudi tu ili Tff wamfungie mashabiki wa yanga walalamike,hawa jamaa trust me hawajui wanachokifanya kabisaaaaa
 
TFF, Bodi ya Ligi, Wizara, Simba, Yanga hawa wote wabebeshwe lawama
 
Mi nasema,kama kweli serikali ndiyo iliwaomba TFF wasogeze mechi,basi kitendo cha yanga kutoitambua mechi ya tarehe 3 ni kitendo cha uasi dhidi ya serikali.

Kama serikali haikutoa maelekezo,basi ni wakati muafaka kutoka hadharani na kukemea vikali tabia ya taasisi nyeti kama TFF kuisingizia katika jambo kama hili kwa maslahi ya timu moja.
Hadi sasa sijaona kama serikali imekanusha kusingiziwa kwenye hili.

Kama walishauri bila kujua kanuni zinasemaje,na hawakuwa na sababu ya msingi,walipaswa kuiamuru TFF ikanushe barua yake ya kuahirishwa kwa mechi huku serikali ikisingiziwa.Vinginevyo kama walisingiziwa na wakanyamaza,Katibu mkuu wizara ya habari na michezo anapaswa ajiuzuru kwa kushindwa kuingilia kati suala la serikali kuchafuliwa kwa kusingiziwa na TFF kwa jambo ambalo haikulifanya.Ulikuwepo muda wa kulifanyia kazi kabla ya saa 11.

Ila kama kweli serikali inajua ilihusika,basi viongozi washabiki wa yanga waliopo serikalini,waishauri timu yao isijipime nguvu na serikali.Kama wanaruhusu hivyo,basi hawana nia njema na Rais wetu.Nitaanza kuwa na mashaka nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…