Yanga hawakujipanga kuzindua jezi

Yanga hawakujipanga kuzindua jezi

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara

Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.

Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
 
E9903C3F-A4CE-4D72-8D68-81A53D969258.jpeg
F268BEAA-DCBC-499F-ACC8-07CBF3D78D48.jpeg
 
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara

Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.

Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
Makolo mnapatwaga na MIHAHO kweli kweli na mambo ya Yanga
 
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara

Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.

Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
Ulitaka wafanye kipi? Yanga ukiangalia hata mambo yao ya meenda kwa mtiririko.

Kuna ndugu zetu,baadaa ya Yanga kutaja bajeti yake mwaka,nao wakaita kikao cha wabunge waatangaza bajeti yao.Baada ya mkutano wa Yanga Kamwe akahojiwa akasema jezi zipo tayari na wakaandaa na utaratibu, nao hao kesho wakakaa na Mbunifu wao Kadinda baada ya siku tatu wakatoa bango jezi tayari,wakati Sheria Ngowi mwishoni wa msimu huu Mai alisema designing ya Jezi kishamaliza.

Haya mshishangae mkaambiwa mzigo umekwama Ethiopia ukisubiria kupigwa pasi kama msimu uliopita.
 
Ngoja nizione kwa macho yangu. Maana hiyo nyeusi yenye upindo chini, naona imekaa kama blauzi vile.
Hiyo sio Kali sema wabongo wanapenda Sana vitu vinavyong'aa ovyo Ila jezy ya kijani Kali Sana ukiivaa ndo utanielewa
 
Back
Top Bottom