Yanga hawakujipanga kuzindua jezi

Yanga hawakujipanga kuzindua jezi

Labda wewe ndio hukujipanga, vitu vinazinduliwa ikulu kwa hiyo unataka kuniambia hawakuwapa taarifa ikulu kupitia ule mwaliko waliopewa kuwa kutakuwa na uzinduzi wa jezi? NA nakumbuka msemaji wa Yanga alisema ndani ya wiki hii jezi zinazinduliwa..

Tatizo la wabongo wengi wetu wabishi na siku hizi karibia kila mtu ni mchambuzi

Vilevile kila mtu na maoni yake wengine wanasema mbaya wengine nzuri...
 
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara

Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.

Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
Kwani ukialikwa ni lazima ufanye uzinduzi kwenye huo mualiko? Wangekuwa hawako tayari wasingezindua hakuna anayeweza kuwalazimisha kitu ambacho hawako tayari. Kwanini usiseme kuwa kitendo cha Yanga kualikwa waeona ni moja ya fursa kwao kuzindulia jezi zao kupitia tukio la mualiko huo.
 
yaani unatumia nguvu kumuhoji shabiki wa Simba?
 
FB_IMG_1688680073818.jpg
 
Hapana jezi za msimu huu ni nzuri Sana hasa Ile ya kijani ni balaa [emoji91]
ile ya bluu yenye ufito wa yellow chini kama kwaya aic kazuramimba je??? amechemka sana hizi
 
Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara

Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.

Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
usiandike vitu ambavyo huvijui wala hujavifanyia utafiti kama hayawani, jezi za yanga zilishawekewa utaratibu tangu siku ya mkutano mkuu, zilifika zikasambazwa kwa wauzaji wa jumla lakini kwa sharti kwamba wasiziuze wala kuzionesha mpaka zitangazwe na club so zikawa zimefika nchi nzima. kilichofanyika kule malawi ni uzinduzi wa jezi ambayo ilikuwa madukani tayari kwa kuuzwa. ulitaka wajipangeje sasa hapo?
 
Kwa muonekano wa mtandaoni jezi za mwaka huu sio nzuri hasa hii yenye ukosi wa njano chini, nikiziona kwa macho yangu ntatoa jibu la pamoja kama kweli ni nzuri au ni mbaya.
 
Kwa muonekano wa mtandaoni jezi za mwaka huu sio nzuri hasa hii yenye ukosi wa njano chini, nikiziona kwa macho yangu ntatoa jibu la pamoja kama kweli ni nzuri au ni mbaya.
Unaishi Kigoma? Mbona jezi zimetapakaa mitaani hizo?
 
Back
Top Bottom