Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Labda wewe ndio hukujipanga, vitu vinazinduliwa ikulu kwa hiyo unataka kuniambia hawakuwapa taarifa ikulu kupitia ule mwaliko waliopewa kuwa kutakuwa na uzinduzi wa jezi? NA nakumbuka msemaji wa Yanga alisema ndani ya wiki hii jezi zinazinduliwa..
Tatizo la wabongo wengi wetu wabishi na siku hizi karibia kila mtu ni mchambuzi
Vilevile kila mtu na maoni yake wengine wanasema mbaya wengine nzuri...
Tatizo la wabongo wengi wetu wabishi na siku hizi karibia kila mtu ni mchambuzi
Vilevile kila mtu na maoni yake wengine wanasema mbaya wengine nzuri...