Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo mnapatwaga na MIHAHO kweli kweli na mambo ya YangaKila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara
Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.
Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
kinachoangaliwa ni maana ya jezi sio rangi rangiJezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Watoe ufito wa pale chini jezi itakuwa poaJezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Hapana jezi za msimu huu ni nzuri Sana hasa Ile ya kijani ni balaa [emoji91]Jezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Ulitaka wafanye kipi? Yanga ukiangalia hata mambo yao ya meenda kwa mtiririko.Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara
Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.
Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
Ngoja nizione kwa macho yangu. Maana hiyo nyeusi yenye upindo chini, naona imekaa kama blauzi vile.Hapana jezi za msimu huu ni nzuri Sana hasa Ile ya kijani ni balaa [emoji91]
Nitakununulia hiyo hapo uvae
Jezi nzuri mkuuJezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Hiyo sio Kali sema wabongo wanapenda Sana vitu vinavyong'aa ovyo Ila jezy ya kijani Kali Sana ukiivaa ndo utanielewaNgoja nizione kwa macho yangu. Maana hiyo nyeusi yenye upindo chini, naona imekaa kama blauzi vile.
Sahihi kabisa. Huo ufito utazifanya hizo jezi nyeusi kuonekana kama ni blauzi vile.Watoe ufito wa pale chini jezi itakuwa poa