Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hakuna Mtu anafanya Kila kitu perfect. Siyo Yanga na sipendi rangi za Chama Fulani lakini safari hii jezi ya Kijani, Duh!Jezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Ya kijani nzuri sanaNgoja nizione kwa macho yangu. Maana hiyo nyeusi yenye upindo chini, naona imekaa kama blauzi vile.
Kwani ukialikwa ni lazima ufanye uzinduzi kwenye huo mualiko? Wangekuwa hawako tayari wasingezindua hakuna anayeweza kuwalazimisha kitu ambacho hawako tayari. Kwanini usiseme kuwa kitendo cha Yanga kualikwa waeona ni moja ya fursa kwao kuzindulia jezi zao kupitia tukio la mualiko huo.Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara
Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.
Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
yaani unatumia nguvu kumuhoji shabiki wa Simba?Kwani ukialikwa ni lazima ufanye uzinduzi kwenye huo mualiko? Wangekuwa hawako tayari wasingezindua hakuna anayeweza kuwalazimisha kitu ambacho hawako tayari. Kwanini usiseme kuwa kitendo cha Yanga kualikwa waeona ni moja ya fursa kwao kuzindulia jezi zao kupitia tukio la mualiko huo.
Jezi zina shida gang mbona mi navona zimetulia freshJezi za msimu huu tumechemka, ukilinganisha na zile za msimu uliopita.
Hii iliyoko kulia ni Kali mnoo aisee Yanga mnajua kutengeneza jezi...
ile ya bluu yenye ufito wa yellow chini kama kwaya aic kazuramimba je??? amechemka sana hiziHapana jezi za msimu huu ni nzuri Sana hasa Ile ya kijani ni balaa [emoji91]
usiandike vitu ambavyo huvijui wala hujavifanyia utafiti kama hayawani, jezi za yanga zilishawekewa utaratibu tangu siku ya mkutano mkuu, zilifika zikasambazwa kwa wauzaji wa jumla lakini kwa sharti kwamba wasiziuze wala kuzionesha mpaka zitangazwe na club so zikawa zimefika nchi nzima. kilichofanyika kule malawi ni uzinduzi wa jezi ambayo ilikuwa madukani tayari kwa kuuzwa. ulitaka wajipangeje sasa hapo?Kila mtu anajua tambo za Ali Kamwe, Priva, Manara
Lazima wangeweka TV na kuanza toa maelezo mengi kuhusiana na Jezi.
Na ilikuwa ifanyike wiki hii, ila cha ajabu wakashtukizwa na mualiko ambapo imewabidi waachie jezi bila wao kutaka
Unaishi Kigoma? Mbona jezi zimetapakaa mitaani hizo?Kwa muonekano wa mtandaoni jezi za mwaka huu sio nzuri hasa hii yenye ukosi wa njano chini, nikiziona kwa macho yangu ntatoa jibu la pamoja kama kweli ni nzuri au ni mbaya.