Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga waachane na hii formation ya 4-2-3-1 kwani viungo wao hawana uwezo wa ku-press ili kutengeneza nafasi nyingi kwa mshambuliaji wao kuweza kufunga labda wacheze 4-3-3 ambayo angalau ni mfumo unaoweza kuwafanya washambulie zaidi.

Badala yake mshambuliaji mara nyingi anabaki kisiwani huku hakiwa hawezi kupata mipira. Yanga wanatakiwa wapate utility mid-fielders wenye uwezo wa kumiliki mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga jambo ambalo ilikosekana kwenye mechi yao na Simba.

Pia naona kama kocha pia bado hayuko vizuri kimbinu, huwezi kuweka timu ijihami wakati hata goli bado hujafunga huku pia hauna mpango wa kufanya devastating counter attacks na badala yake unajihami kwa shabaha ya kutafuta sare, huu mkakati ni wa hovyo sana.

Kama Yanga wasipofanyia kazi hilo basi hawawezi kufika mbali kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika.
 
Wewe kocha wa JF hio mechi ilikua ya CAF? wanacheza na Simba mkubwa mwenzake wafunguke bila kujilinda? mnataka kuichulia Simba kama ndio reference ya CAF kana kwamba wao hua hawafungwi huko
 
Simba wamefanya nini jipya kwenye CAF CL mwaka huu? Si mechi moja tu wakapepesuliwa na wale makirikiri...Simba na Yanga wote wana kazi ya kuboresha vikosi vyao....
 
Kitu pekee simba wamebaki nacho ni kujifariji na CAF

Safari hii hata kuonja uongozi wa ligi hamjaweza na hamtaweza. Record ya unbeaten imebaki kwa Yanga. Na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza ligi unbeaten.

Mechi 9 zimebaki. Hata zikiwa sare zote, bado Yanga ni Bingwa.

Kuna mechi simba imebakiza huko CAF
 
Umesau km misim yte ulofka rob CAF ulifungwa na yanga lig ya ndan? Gem ya dabi haidetermine kiwang cha level ya kimataifa
 
Maisha Yanaenda Kasi Sana, Leo Hii Kilichobaki Kwa Simba Ni Mambo Mawili Tu, Kushangilia Mayele Kutowafunga Na Kombe Lao La Kuishia Robo Fainali [emoji23]
Hapo ukiulizwa kombe likowapi hauna ila unabaki kusema una uhakika wa kulichukua, lakini kwenye maelezo yako ni kama vile mmelichukua kwa muda mrefu sana.😄
 
Hapo ukiulizwa kombe likowapi hauna ila unabaki kusema una uhakika wa kulichukua, lakini kwenye maelezo yako ni kama vile mmelichukua kwa muda mrefu sana.[emoji1]
Basi Tufanye Nyie Ndo Mna Makombe Mengi Ya Ligi Kutuliko Na Ni Mabingwa Wa CAF Champions League Msimu Uliopita Na Mabingwa Tarajiwa Wa CAF Confederation Cup Msimu Huu Na Mpaka Sasa Mpo Kileleni NBC Premier League [emoji854]
 
Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao.
Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta.
Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga wako serious wanatakiwa kusajili hasa wachezaji wenye uwezo wa kuamua michezo migumu. Sio hawa kina sure boy..

View attachment 2206582
Wenyewe mmesherehekea na kusifu beki wenu kwakupata suluhu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kama mechi ya leo ni kipimo, vipi Simba imepata jibu gani kwa kutoa sare na Yanga?
Simba ina uzoefu na timu za kimataifa kila kona ya Africa, hivyo huwezi kuilinganisha na Yanga. Hata kwenye vilabu bora barani Africa Yanga haipo lakini Simba ipo.
 
Uyo Mayele unaembeza ndo top scorer wa ligi mpaka sasa. Chagua wachezaji wa timu yenu wawili wakali na top scorers katika timu yenu kisha jumlisha magoli yao, hakuna atakayemfikia Mayele kamwee
Mpole vip
 
Simba ina uzoefu na timu za kimataifa kila kona ya Africa, hivyo huwezi kuilinganisha na Yanga. Hata kwenye vilabu bora barani Africa Yanga haipo lakini Simba ipo.
Basi kama mpira unalinganishwa kipumbavu hivyo, basi tuendelee kulinganisha kipumbavu hivyo hivyo kwamba kwavile Yanga imejipima na timu iliyo na uzoefu na klabu bingwa na waliozoea kufika robo fainali mara kwa mara na kutoka nao suluhu mechi ya pili sasa hivyo ni wazi watafika robo fainali kwenye michuano ya kimataifa msimu ujao.
 
Kitu pekee simba wamebaki nacho ni kujifariji na CAF

Safari hii hata kuonja uongozi wa ligi hamjaweza na hamtaweza. Record ya unbeaten imebaki kwa Yanga. Na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza ligi unbeaten.

Mechi 9 zimebaki. Hata zikiwa sare zote, bado Yanga ni Bingwa.

Kuna mechi simba imebakiza huko CAF
Kwani hiyo rekodi ya unbeaten Simba hawana ?
 
Kitu pekee simba wamebaki nacho ni kujifariji na CAF

Safari hii hata kuonja uongozi wa ligi hamjaweza na hamtaweza. Record ya unbeaten imebaki kwa Yanga. Na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza ligi unbeaten.

Mechi 9 zimebaki. Hata zikiwa sare zote, bado Yanga ni Bingwa.

Kuna mechi simba imebakiza huko CAF
Unajisahaulisha simba walishakuwa unbeaten ila wakafungwa mechi ya mwisho kabisa? It's not over until its over.
 
Hamna namna wanaweza kujirekebisha... Hamna namna. Wao wanaona wanaweza kucheza na timu yoyote duniani na wakashinda.
 
Back
Top Bottom