Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

Sisi hayo hayatuhusu pambaneni na hali yenu
 
Wanasema wao muhimu point tatu.

Wanasema pia wakishaongozaga goli mbili uwa wana-rotate Kikosi kuwapa nafasi wale wasiopata sana namba na chipukizi/damu changa ndo maana wameibua kipaje Cha dogo Mzize.
Yanga wameibua kipaji cha mzize??
 
Simba ndo timu yenye safu bora ya ushambuliaji,kama hawataki waambie wabinuke tuchomoe mwiko nyuma huko
 
Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele?

Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele.

Hebu acheni mambo yenu!
taratibu basi....mbona mpk mate!!!
 
Yaani alisema ni baba yake tu na Kikwete ndiyo wana akili, sijui aliwaza nini. Hapa tunazungumzia magoli wewe unaleta mambo ya pointi.
Sasa hayo magoli yabawasaidia nini kwenye Ligi yetu ya NBC? Mko nyuma kwa pointi 8! Mfungaji anayeongoza kwa magoli mpaka sasa ni Fiston Mayele! Au unataka kuniambiakuna mchezaji ndani ya kikosi chenu, mwenye magoli kumzidi huyu mfungaji bora wa ligi kuu msimu huu?

Yaani unasherehekea timu yako kuwa na magoli mengi, yasiyo na athari zozote! Halafu kwenye ule mkutano, Rage alipowaita mbumbumbu eti mlijifanya kukasirika! Na wakati ni mbumbumbu kweli.
 
Yanga imezidiwa magoli 14 ama haijaziwa??
Kamanda, nakushauri uwekeze nguvu zako kwenye siasa za chama zaidi. Huku kwenye michezo, naona unapuyanga tu kamanda.

Kwenye michezo, pointi ndizo zinazoleta ubingwa. Na siyo magoli. Ni aghalabu mpaka itokee mkalingana pointi, ndiyo uwiano wa magoli utaangaliwa.

Sasa kwa hali ilivyo msimu huu, hayo magoli 14 hayamsaidii chochote. Maana ameachwa pointi nyingi na Yanga, na ambazo hawezi kuzifikia kwa urahisi.
 
Ni yule fundi wenu aliye wadanganya kurudisha basi la wachezaji kinyume nyume, halafu mlipoenda kwa Mkapa, Waarabu wakawapiga goli 3-0!! πŸ˜ƒ

Kama ni huyo msimuamini aisee!!
Yule wa Comoro ni Feki. Tumetafuta fundi wa kisomo toka Kilwa Kivinje!! Yule mmanga alitubugisha sana, alisema eti dereva arudishe Gari bila ya kuangalia nyuma, dereva aliposika mayowe ya mashabiki wa utopolo si akageuka!!

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom