Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Bange zimenibangua. Mayelle ni wa kawaida sana. alichomzidi Habibu Kyombo ni mambio yake!!Angalia kwanza ulichoandika kinaakisi akili yako au ni bange zimekubangua?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa wewe umeshasahau hapo ulipomnukuu manara hayo kwangu ni matusi?Jihesimu. Usichukulie mambo kibinafsi. Huwezi kujenga hoja mpaka utukane??
Yanga wameibua kipaji cha mzize??Wanasema wao muhimu point tatu.
Wanasema pia wakishaongozaga goli mbili uwa wana-rotate Kikosi kuwapa nafasi wale wasiopata sana namba na chipukizi/damu changa ndo maana wameibua kipaje Cha dogo Mzize.
Ngoja tufufuwe ule Uzi wa taahira mwenzako Kibu Denis Vs Mayele, mwenzako kakimbia Uzi wake, bado wewe.Bange zimenibangua. Mayelle ni wa kawaida sana. alichomzidi Habibu Kyombo ni mambio yake!!
π π π π π π π
taratibu basi....mbona mpk mate!!!Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele?
Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele.
Hebu acheni mambo yenu!
Sasa hayo magoli yabawasaidia nini kwenye Ligi yetu ya NBC? Mko nyuma kwa pointi 8! Mfungaji anayeongoza kwa magoli mpaka sasa ni Fiston Mayele! Au unataka kuniambiakuna mchezaji ndani ya kikosi chenu, mwenye magoli kumzidi huyu mfungaji bora wa ligi kuu msimu huu?Yaani alisema ni baba yake tu na Kikwete ndiyo wana akili, sijui aliwaza nini. Hapa tunazungumzia magoli wewe unaleta mambo ya pointi.
Unataka maajabu ya aina gani, kama mpaka wakati huu ligi inapoelekea ukingoni, yeye ndiye kinara wa ufungaji?Wa kawaida sana tu. Sema mnamshabikia kwa mitetemo yake. Ila hana maajabu!!
Kamanda, nakushauri uwekeze nguvu zako kwenye siasa za chama zaidi. Huku kwenye michezo, naona unapuyanga tu kamanda.Yanga imezidiwa magoli 14 ama haijaziwa??
Fundi wetu katuambia kwamba mpaka ligi iishe mtafungwa mechi mbili na kutoa Droo mechi mbili!!Kwenye michezo, pointi ndizo zinazoleta ubingwa. Na siyo magoli.
Ni yule fundi wenu aliye wadanganya kurudisha basi la wachezaji kinyume nyume, halafu mlipoenda kwa Mkapa, Waarabu wakawapiga goli 3-0!! πFundi wetu katuambia kwamba mpaka ligi iishe mtafungwa mechi mbili na kutoa Droo mechi mbili!!
Yule wa Comoro ni Feki. Tumetafuta fundi wa kisomo toka Kilwa Kivinje!! Yule mmanga alitubugisha sana, alisema eti dereva arudishe Gari bila ya kuangalia nyuma, dereva aliposika mayowe ya mashabiki wa utopolo si akageuka!!Ni yule fundi wenu aliye wadanganya kurudisha basi la wachezaji kinyume nyume, halafu mlipoenda kwa Mkapa, Waarabu wakawapiga goli 3-0!! π
Kama ni huyo msimuamini aisee!!