Yanga hii ya Lwandamina, hapana



Kuna jambo ambalo watu wengu hawalitambui linalo endelea pale Jangwani.

jambo hilo linaitwa "usimikwaji wa kizazi kipya".

Kinachofanywa hivi sasa na Yanga ni kuandaa na kutengeneza kizazi kipya cha wanajangwani ambao watahakikisha kinafanya makubwa kama hiki kizazi kinachomaliza muda wake pale jangwani na mafanikio lukuki
mfano:- (Yondani, Nadir, Niyonzima, Abdul, O Joshua,).

Tofauti na mtindo wetu wa awali wa recruiting new ready made player, hivi sasa tunajaribu kuandaa wale ambao tunaona huko mbeleni watakuwa msingi bora wa klabu na kuendeleza rekodi ya kutwaa mataji kama ilivyo kawaida yetu.

Kuna jambo mbele ambalo linaonekana hivyo kwa taadhari kubwa ikaonekana ni vyema hii hatua ichukuliwe mapema.

"wabongotumezoea mteremko na shortcut, ndio maana mleta mada ameanza moja kwa moja kumlalamikia GL. "
 
Timu kumalza dk 45 wanahema pumzi hamn zile pasi rula hamn tena Mi naona kocha viatu vikubwa kwake toka siku ya kwanza amefika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi bado mbichi sana yan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…